Fake gynaecologist Mugo Wa Wairimu arraigned in court
Self proclaimed gynaecologist Mugo Wa Wairimu who was captured on camera allegedly raping a sedated patient was on Friday morning arraigned in court just a day after he was arrested at a Limuru hotel....
View ArticleNurses treat bedridden cancer patients at home
With the breast cancer awareness month around the corner, a middle aged woman in Ruiru is hoping to access treatment after being diagnosed with the killer disease two years ago. The woman who is bed...
View ArticleTwo warring clans in Garissa agree to end hostilities
Two warring clans in Garissa county have signed a peace agreement to end hostilities and embark on the process of stabilizing the region. The agreement to end the protracted animosity between the...
View ArticleNkaissery launches offensive against al Shabaab militants
Interior cabinet secretary Joseph Nkaissery is at this moment headed to Lamu county where he will launch an operation to flush out Al- shabaab militants from the Boni forest. Security agencies believe...
View ArticleRais Uhuru Kenyatta asema serikali haina uwezo wa kutekeleza nyongeza ya...
Rais Uhuru Kenyatta amesema serikali haina fedha za kuwalipa walimu kama ilivyoamuliwa na mahakama mwezi uliopita. Kulingana na Kenyatta, kuwalipa asilimia 50 hadi 60 ni jambo lisilowezekana kutokana...
View ArticleWaziri Joseph Nkaissery azindua operesheni Linda Msitu Wa Boni, dhidi ya...
Operesheni linda msitu wa Boni imeanza rasmi, huku wanajeshi na vikosi vingine vya usalama vikitarajiwa kupambana ana kwa ana na kundi la Al Shabaab. Ni opresheni ambayo waziri wa usalama wa ndani...
View ArticleMaafisa 21 katika wizara ya ugatuzi wapewa likizo ya lazima, kuhusiana na...
Maafisa 21 katika wizara ya ugatuzi wamesukumwa kwenye likizo ya lazima, kuhusiana na sakata ya huduma ya vijana kwa taifa NYS, wakisubiri kujua uamuzi wa mkurugenzi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko....
View ArticleMume amuua mwanawe na wa jirani, Kieni Kaunti ya Nyeri
Kijiji cha mwishuiri huko kieni kaunti ya Nyeri, kimegubikwa na biwi la simanzi, baada ya watoto wawili kuuawa kinyama na jamaa anayeshukiwa kuwa baba ya mmoja wao, na kutupwa kwenye mtaro. Inadaiwa...
View ArticleViongozi wa Jubilee waendeleza shinikizo la kutaka kesi dhidi ya naibu wa...
Viongozi wa muungano tawala wa Jubilee wameendeleza shinikizo la kutaka kesi dhidi ya naibu wa Rais William Ruto katika mahakama ya ICC kuondolewa. Wakiongozwa na kiongozi wa wengi katika bunge la...
View ArticleKaunti ya Bungoma yamulikwa kwa kununua vitanda vya Sh 35,000
Kwa mara nyingine kaunti ya Bungoma imengonga vichwa vya habari zaidi kwa utumiaji mbaya wa pesa za umma, ambapo sasa imedhihirika kuwa kaunti hiyo imenunua vitanda vya hospitali kwa shillingi elfu...
View Article3 family members who died in Voi accident laid to rest
Three members of the same family who died in a tragic road accident in Voi were yesterday laid to rest in an emotional ceremony in Molo -Nakuru county. The deceased died after a trailer which was...
View ArticleRowdy youths disrupt leaders meeting
Police in Nanyuki town engaged in running battles with rowdy youths who attempted to disrupt a leaders meeting called by Laikipia Governor Joshua Irungu.Trouble began after the youths who had not been...
View ArticleMachakos Governor holds rallies in Makueni County
Machakos Governor Dr Alfred Mutua yesterday held rallies in Makueni county for the second time in less than one month to drum up support for his ‘Maendeleo Chapa Chap’ movement.Mutua who addressed...
View ArticleOne student stabbed to death in fight over girlfriend
A 23 year old student at the Kimathi University in Nyeri County was yesterday stabbed to death by his colleague following differences over a girlfriend. The students are said to have been drinking...
View ArticleVituo 16 vya kuwatibu waraibu sugu vyazinduliwa Pwani
Kliniki 16 zinazonuiwa kusaidi wanaotumia madawa za kulevya haswa aina ya heroin zimezinduliwa rasmi katika eneo la Pwani kupitia wizara ya afya. Aidha waathiriwa wa dawa hiyo ya heroin...
View ArticleMswada wawasilishwa kupiga marufuku kelele matangani, Kakamega
Huenda ikawa kinyume sasa kuomboleza, kwa kupiga nduru, na hata kulia kwa sauti za juu, endapo mswada uliotayarishwa na waziri wa mazingira katika kaunti ya Kakamega, Robert Sumbi utapitishwa bungeni....
View ArticleMashine ya ujenzi yaangukia Msikiti mtukufu na kuangamiza waumini 107
Wakenya saba ni miongoni mwa watu 107 walijeruhiwa katika msikiti mtakatifu wa Makka nchini Saudia Arabia hiyo jana baada ya mashine ya ujenzi kuwaangukia walipokuwa wamekisanyika katika sala ya Ijumaa...
View ArticleKito Cha Jamii : Juhudi za Mkewe Gavana wa Nyamira za kuimarisha wanawake
Amejitwika jukumu la kuwasaidia, akina mama na hata vijana, kwenye vikundi kujua umuhimu wa kuku. Aidha ameanzisha mpango unaojulikana kama kuku ni pesa, ambapo yeye huwapa akina mama kuku, na mayai,...
View ArticleWakereketwa wa Jubilee wakemea kuendelea kwa kesi dhidi ya Ruto
Viongozi wa muungano tawala wa Jubilee siku ya Jumamosi waliendeleza shinikizo la kutaka mahakama ya ICC kumuondolea kesi naibu wa rais William Ruto, ili aweze kuongoza Kenya bila doa. Akizungumza...
View ArticleAfueni baada ya serikali kuahidi kuwalipa fidia wote walioteswa nyayo
Serikali ya Uingereza ikishirikiana na Kenya imezindua mnara wa kumbukumbu katika bustani ya Uhuru unaolenga kuwakumbuka wapiganaji wa maumau na mateso waliyoyapitia. Serikali ya Uingereza mwaka wa...
View Article