Kijiji cha mwishuiri huko kieni kaunti ya Nyeri, kimegubikwa na biwi la simanzi, baada ya watoto wawili kuuawa kinyama na jamaa anayeshukiwa kuwa baba ya mmoja wao, na kutupwa kwenye mtaro. Inadaiwa watoto hao, wenye umri wa miaka nne hadi sita, walikuwa wanaelekea shuleni, ambapo mshukiwa, aliwateka nyara, na kuwauwa kwa sababu zisizoeleweka. Polisi wameanzisha ...
The post Mume amuua mwanawe na wa jirani, Kieni Kaunti ya Nyeri appeared first on Mediamax Network Limited.