Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Viongozi wa Jubilee waendeleza shinikizo la kutaka kesi dhidi ya naibu wa Rais William Ruto katika ICC kuondolewa

$
0
0

Viongozi wa muungano tawala wa Jubilee wameendeleza shinikizo la kutaka kesi dhidi ya naibu wa Rais William Ruto katika mahakama ya ICC kuondolewa. Wakiongozwa na kiongozi wa wengi katika bunge la Senate Prof. Kithure Kindiki, viongozi hawa wamesema hatawaketi kitako kuona ICC ikidhalalisha Ruto na Sang, kwani watatumia mbinu zote kudidimiza kesi dhidi ya wawili ...

The post Viongozi wa Jubilee waendeleza shinikizo la kutaka kesi dhidi ya naibu wa Rais William Ruto katika ICC kuondolewa appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles