Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Vituo 16 vya kuwatibu waraibu sugu vyazinduliwa Pwani

$
0
0

Kliniki 16 zinazonuiwa kusaidi  wanaotumia   madawa za  kulevya   haswa aina ya heroin zimezinduliwa  rasmi  katika eneo la Pwani  kupitia wizara ya afya. Aidha  waathiriwa wa dawa hiyo ya heroin watapata matibabu bila malipo huku oparesheni iliyoanzishwa ya kuangamiza uuzaji na matumizi ya dawa za kaulevya katika eneo hilo ikiendelea

The post Vituo 16 vya kuwatibu waraibu sugu vyazinduliwa Pwani appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles