Huenda ikawa kinyume sasa kuomboleza, kwa kupiga nduru, na hata kulia kwa sauti za juu, endapo mswada uliotayarishwa na waziri wa mazingira katika kaunti ya Kakamega, Robert Sumbi utapitishwa bungeni. Kulingana na Sumbi, watu wengi huwa hata wanalipwa ili kuomboleza na kulia kwa kwikwi, licha ya kutomfahamu aliyekufa wala kilichomuua, na hivyo basi huwa ni ...
The post Mswada wawasilishwa kupiga marufuku kelele matangani, Kakamega appeared first on Mediamax Network Limited.