Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Wakereketwa wa Jubilee wakemea kuendelea kwa kesi dhidi ya Ruto

$
0
0

Viongozi wa muungano tawala wa Jubilee siku ya Jumamosi  waliendeleza shinikizo la kutaka mahakama ya ICC kumuondolea kesi naibu wa rais William Ruto, ili aweze kuongoza Kenya bila doa. Akizungumza katika kijiji cha Mukoro kaunti ya Elgeyo Marakwet, seneta Kipchumba Murkomen amesema kwamba watamshauri Ruto kukatiza ushirikiano wake na mahakama hiyo, iwapo taarifa za mashahidi ...

The post Wakereketwa wa Jubilee wakemea kuendelea kwa kesi dhidi ya Ruto appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles