Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Mwanamuziki Koffi Olomide afurushwa kwa kumshambulia mnenguaji kiuno uwanjani JKIA

$
0
0

olo

https://www.youtube.com/watch?v=bIaLKl43-xE

Serikali imerejesha kwa lazima nchini Congo mwanamuziki mashuhuri kutoka Congo Koffi Olomide kufuatia kisa ambacho mwanamuziki huyo alimpiga kwa teke mcheza dansi wa bendi yake mbele ya umati katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta iIumaa asubuhi
Hata hivyo, baada ya video ya kisa hicho kutokea na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, mwanamziki huyo alikamatwa Ijumaa jioni punde tu alimaliza kufanya mahojiano katika kituo fulani cha runinga na kufungiwa katika seli za kituo cha polisi cha JKIA

The post Mwanamuziki Koffi Olomide afurushwa kwa kumshambulia mnenguaji kiuno uwanjani JKIA appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles