https://www.youtube.com/watch?v=10GlLrcQj6I
Kwenye makala ya Ari Na Ukakamavu tunamuangazia msichana mwenye umri wa miaka 17, ambaye licha ya kuwa muogeleaji hodari katika timu ya taifa , ameanzisha mradi wa kuwafadhili waogeleaji walemavu nchini...
The post Ari Na Ukakamavu : Muogeleaji wa timu ya taifa aliyejitolea kufadhili wenzake walemavu appeared first on Mediamax Network Limited.