https://www.youtube.com/watch?v=-
Tume ya uwiano na maridhiano NCIC imeamuagiza senator wa Machakos Johnstone Muthama kufika mbele ya tume hio hapo kesho kwa tuhuma za matamshi ya chuki katika sherehe za mwakilishi wa wanawake kaunti ya Busia Florence Mutua siku chache zilizopita.
Na kama anavyoarifu Daniel Kariuki, haya yanajiri baada ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko kupendekeza kwamba seneta huyo ashtakiwe huku seneta huyo akidai kwamba hajapokea mwito huo.
The post Tume ya maridhiano NCIC yamtaka Seneta wa Machakos kufika mbele yake appeared first on Mediamax Network Limited.