Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Mkondo Wa IEBC : Utaratibu wa bunge waanza baada ya majina ya wabunge kuidhinishwa

$
0
0

Screen Shot 2016-06-30 at 8.15.29 PM

https://www.youtube.com/watch?v=0KbN_ly6Zxc
Kiongozi wa walio wengi bungeni Aden Duale amewasilisha majina ya wajumbe kumi na wanne kutoka CORD na Jubilee wanaofaa kujumuishwa kwenye kamati ya pamoja kuhusu mazungumzo ya IEBC.

Na sasa safari ya kuwatimua makamishna wa IEBC huenda imeanza rasmi huku jumanne ijayo majina hayo yakitarajiwa kujadiliwa bungeni na kuidhinishwa ili kazi ianze.

Anders Ihachi na taarifa hiyo ambapo Jubilee inazidi kuilaumu CORD kwa kuchelewesha mambo na kuitaka ichangamke kazi ikamilike mapema.

The post Mkondo Wa IEBC : Utaratibu wa bunge waanza baada ya majina ya wabunge kuidhinishwa appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles