Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Wasiotambulika : Kutana na bawabu aliyebobea kwa karate na kujihami kwa upangaulika : Kutana na bawabu aliyebobea kwa karate na kujihami kwa upanga

$
0
0

Screen Shot 2016-06-30 at 8.06.28 PM

https://www.youtube.com/watch?v=rA7V62UkyBI
Kazi ya ulinzi au bawabu ni kazi kama nyingine yeyote ile, lakini changamoto zake huwaweka wafanyao kazi hiyo kwenye hatari kubwa. Lakini kuna bawabu mmoja wa shule ya msingi mtaani Ruai Nairobi, aliyeamua kujifunza karate na kujihami kwa upanga wa kipekee, kinyume na walinzi wengi wa mitaani, ili kuhakikisha usalama wake na mali anayolinda.

Katika makala ya wiki hii ya, Wasiotambulika, Dennis Matara alimtembelea Julius Muchiri ambaye ni bawabu gwiji wa karate, kupigana kwa upanga na hata aliyejimudu kuhozi taaluma ya uhusiano mwema.

The post Wasiotambulika : Kutana na bawabu aliyebobea kwa karate na kujihami kwa upangaulika : Kutana na bawabu aliyebobea kwa karate na kujihami kwa upanga appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles