https://www.youtube.com/watch?v=OdDja0steRQ
Kampuni ya Goldox Kenya imefungua kichinjio cha punda katika kaunti ya Baringo hususan eneo la Mogotio. Tayari kwenye kichinjio hicho, utawapata wenyeji wakiwa mbioni, kuwachinja punda kwa ajili ya kuuzwa. Swali ni je, wewe uko tayari kumla punda?
The post Je, uko tayari kumla punda? appeared first on Mediamax Network Limited.