Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Juhudi za kumuokoa mtoto zapelekea polisi kumpiga risasi mtu, Nakuru

$
0
0

Screen Shot 2016-06-30 at 7.55.38 PM

https://www.youtube.com/watch?v=y3dvO4ewpRg
Juhudi za kuokoa watoto wawili wanaosemekana kufungiwa kwa muda wa miaka miwili ziligeuka kuwa mkasa baada ya afisa wa polisi kufyatua risasi iliyomuumiza mtu mmoja , katika mtaa wa Huruma kaunti ya Nakuru.

Polisi huyo alijiunga na wananchi kuwaokoa watoto hao, lakini wakamgeuka , wakisema kuwa polisi walikuwa wamesusia kuchukua hatua, licha ya kujulishwa masaibu yaliyokuwa yakiwakumba watoto hao.

The post Juhudi za kumuokoa mtoto zapelekea polisi kumpiga risasi mtu, Nakuru appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles