https://www.youtube.com/watch?v=4BQZf7C0th4
Naibu rais william Ruto hii leo amewakashifu vikali viongozi wa upinzani CORD kwa kuikemea serikali kwa kile anachodai kuwa madai yasiyo na msingi na badala yake kuwataka viongozi hao kuiuza sera na agenda ambazo zitasaidia kujenga taifa na kuibua uchumi.
Adidha naibu rais aliwataka viongozi wa upinzani kukoma kusababisha taharuki bila kuwa na agenda mwafaka huku akisihi jamii kutoka Magharibi mwa nchi kuiunga serikali mkono.
The post Naibu wa Rais apuuzilia mbali tetesi za upinzani. appeared first on Mediamax Network Limited.