https://www.youtube.com/watch?v=9_NnBGIVyIA
Viongozi wa upinzani wamesisitiza kuwa serikali inahusika na mauaji ya mfanyabiashara Jacob Juma…
Wakizungumza wakati wa mazishi ya hayati Juma katika kijiji cha Mungore kaunti ya Bungoma, viongozi hawa wamesema ishara zote zinaonyesha kuwa mwendazake alikuwa amekwaruzana na viongozi watajika serikalini waliokuwa wametishia kumuua.
Aidha viongozi hawa wameikashifu idara ya usalama, wakidai uchunguzi unaofanywa hauwezi kufichua ukweli,
The post Jacob Juma azikwa Bungoma huku upinzani ukikariri serikali inahusika appeared first on Mediamax Network Limited.