Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Wanjala aliyedandia chini ya ndege alazwa hospitali polisi wakimsubiri.

$
0
0

Screen Shot 2016-05-14 at 8.11.41 PM

https://www.youtube.com/watch?v=8Fep_kfGnj0
Sale Wanjala jamaa aliyewashangaza wengi hapo jana baada ya kudandia sehemu ya chini ya helikopta ikipaa huko Bungoma, sasa anauguza majeraha katika hospitali kuu ya Bungoma.

Tulipomtembelea, hospitalini, jamaa huyo tayari alikuwa na pingu mkononi, akitarajwia kufikishwa mahakamani hivi punde, kwa kuhatarisha maisha yake na wengine.

The post Wanjala aliyedandia chini ya ndege alazwa hospitali polisi wakimsubiri. appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles