Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Mtoto aliyepatikana chini ya vifusi apona na kuruhusiwa kuondoka hospitalini

$
0
0

Screen Shot 2016-05-14 at 8.30.43 PM

https://www.youtube.com/watch?v=gq7tviFyIbA
Dealeryn Saisi Wasike mtoto ambaye alinusuriwa kutokana na jengo lilioporomoka huko Huruma baada ya kuwa chini ya vifusi kwa siku nne sasa ameunganishwa na familia yake baada ya kutolewa katika hospitali kuu ya Kenyatta.

Saisi alilazwa hospitalini wiki mbili zilizopita na amekuwa akipokea matibabu kufuatia janga ambayo ilisababisha kifo cha mamake.

Kwa mujibu wa kamanda mteule wa tukio hilo Pius Masai, Mtoto huyu hakuwa na majeraha makubwa na ametibiwa kikamilifu.

The post Mtoto aliyepatikana chini ya vifusi apona na kuruhusiwa kuondoka hospitalini appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles