Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Kenyatta, Ruto wakutana na zaidi ya viongozi 10,000, Nairobi

$
0
0

Screen Shot 2016-04-26 at 8.01.03 PM

https://www.youtube.com/watch?v=B-TeqZs8hOQ

Takriban viongozi na wataalam wapatao 10,000 hivi kutoka kaunti 3 za eneo kuu la Ukambani hii leo (April 26) wamekutana na Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto katika ikulu ya Nairobi.

Katika kile ambacho wadadisi wa siasa wanadai kuwa ni mojawepo ya mbinu za Jubilee kupenyeza kwenye eneo kuu la Mashariki mwa nchi, rais Kenyatta amehakikishia wenyeji wa kaunti hizo za Makueni, Kitui na Machakos kwamba siasa za maendeleo ndizo zitakazowafaidi kama wenyeji wa sehemu zingine nchini.

The post Kenyatta, Ruto wakutana na zaidi ya viongozi 10,000, Nairobi appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles