https://www.youtube.com/watch?v=lZuol8ehXgE
Amejaribu bahati ya kujiunga na kikosi cha polisi mara sita bila mafanikio, lakini mungu si athumani, kwani, jaribio lake la saba aliweza kujiunga na kikosi cha polisi.
Si mwingine ila Daniel Muigai, afisa wa polisi kutoka kaunti ya Nakuru. Lakini baada ya kujiunga na kikosi hicvho, alishuhudia, vifo vya maafisa wapatao arobaini wa polisi, katika eeno la Baragoi mikononi mwa wezi wa mifugo.
Kutoka siku hiyo, alianza kazi ya ziada, ya kuwa mwanamuziki kwa ajili ya amani ya taifa, na kutumia nyimbo zake, kuwapa motisha wengi wakiwemo maafisa wenzake, na hivyo kijipa riziki ya ziada.
The post Afisa wa polisi aliyeponea shambulizi la Baragoi agaagaa pia kwa kuwa mwimbaji appeared first on Mediamax Network Limited.