Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Mwenendo wa kutayarishiwa bidhaa sokoni wazua mjadala Mombasa

$
0
0

mombasa-laziness

https://www.youtube.com/watch?v=ARi1Z1ObsDI
Mkengeuko katika jamii umelaumiwa pakubwa kusambaratisha maadili haswa katika ndoa.
Hapo zamani wanawake walipokwenda sokoni kununua bidhaa mbali mbali kama mboga ama viazi, walifanya hivyo na kuviandaa majumbani
Hata hivyo sivyo hali ilivyo siku hizi kwani wenye soko, wanaofahamika sana kama mama mboga, hutwikwa jukumu la kutayarisha mboga na hata kuambua viazi.
Suala ambalo linaibua maswali ya je mwenendo hu unachangia uvivu katika ndoa?

The post Mwenendo wa kutayarishiwa bidhaa sokoni wazua mjadala Mombasa appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles