https://www.youtube.com/watch?v=8e6vEJNqEf0
Familia moja mjini Mwingi siku ya Jumamosi imelazimika kuufukua mwili waliouzika wakidhani ni wa mwanao Philomena Kasyoka aliyefariki katika shambulizi la kigaidi chuo kikuu cha Garissa miezi saba iliyopita
Familia nyingine imekuwa ikiutafuta mwili wa mwanao Risper Kasyoka Mutisya kwa muda huo wote ambaye pia alifariki katika shambulizi hilo la chuo cha Garissa huku vipimo vilivyofanywa vikionyesha kwamba mwili uliozikwa ulikuwa tofauti.
The post Familia ya muathiriwa wa shambulizi la Garissa ilizika mwili usiokuwa wao appeared first on Mediamax Network Limited.