Siku moja baada ya kaunti ya Bungoma kutangazwa ya kuwa ilitumia Shilingi elfu 109 kununua toroli 10 kila moja, sasa imebainika ya kuwa kaunti ya Kirinyaga pia ilitumia shilingi milioni 2 kufungua akaunti mpya ya Facebook. Afisa wa fedha wa kaunti hiyo ya Kirinyaga alijitetea kwamba fedha hizo zilitolewa kupitia zabuni kwa kampuni moja ya ...
The post Kaunti zatumia mamilioni ya pesa kushughulikia mtandao wa bure appeared first on Mediamax Network Limited.