Wathiriwa wa ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 ambao bado wamesalia kwenye kambi ya muda katika kaunti ya Uasin ngishu wameonekana kushtushwa na maneno ya waziri wa ugatuzi Ann Waiguru ya kwamba tayari serikali imemaliza kuwapa makao wakimbizi. Kwenye mahojiano na runinga ya K24 waathiriwa hao wamesema hawaelewi jinsi serikali ilifanya mpango wa ...
The post Serikali yasema hakuna tena waathiriwa halisi wa ghasia za uchaguzi appeared first on Mediamax Network Limited.