Unyanyapaa, hukithiri, pale ambapo wasichana wadogo wanapachikwa mimba, kwani wengi hujipata na maswali mengi ya kujibu kwa wazazi marafiki, na hata waalimu. Ndio hali iliyomkumba, Phiona Mutinda, ambaye, alipata mtoto akiwa na umri mdogo, jambo lililompelekea kudharauliwa na kutengwa katika jamii. Dharau alizokabiliana, nazo, zilimchochea, kuanza, mradi wa kuwashauri vijana wanaopatana na changamoto kama zake. ...
The post Kito Cha Jamii : Mama anayetoa ushauri kwa wavyazi wachanga appeared first on Mediamax Network Limited.