kamati ya bajeti bungeni imetenga jumla ya shilingi bilioni 1.5 kwa malengo ya kuwafidia wananchi hasara waliopata kutokana na usumbufu wa wanyamapori.
Kamati hiyo pia inasema imetenga shilingi milioni 500 zaidi kusaidia kudhibiti wanyamapori dhidi ya kuingia kwenye makaazi ya watu.
The post Serikali Kuwafidi Walioathiriwa Na Wanyamapori Taita-Taveta. appeared first on Mediamax Network Limited.