Hii ni mara ya kwanza matokeo ya KCSE kutangazwa kwa mda mfupi zaidi baada ya mitihani ya kidato cha 4 kukamilika.
Waziri Matiang’I anatarajiwa kutangaza Matokeo hayo katika shule ya upili ya shimo la tewa.
Alama za A katika mtihani huo zinatarajiwa kushuka hasa kutokana na sheria kali zilizowekwa na wizara ya elimu kuthibiti wizi wa mitihani.
The post Waziri Wa Elimu Kutangaza Matokeo Ya KCSE Leo; Mombasa. appeared first on Mediamax Network Limited.