Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Kaunti ya Kilifi yazindua vazi rasmi la kwanza ya kaunti nchini

$
0
0

Kilifi County Governor Amason Jeffa Kingi.

https://www.youtube.com/watch?v=upOJ9sHBPOY

 

Ni nani angeweza kudhania kuwa leso ya kawaida ingetumika kutengeneza vazi rasmi la kaunti?.Sasa hii ni azma kamili katika kaunti  ya Kilifi, ambako dhana hii imeibuka kuwa sheria kamili na kuifanya kaunti hiyo kuwa ya kwanza  kuwa vazi rasmi.

Vazi hili ambalo lina lengo la kuimarisha sekta ya Utalii na hisia za kujitambua kama mKenya, litavaliwa na kila mkaazi wa Kilifi kama njia ya kuashiria umoja na uzalendo.

 

The post Kaunti ya Kilifi yazindua vazi rasmi la kwanza ya kaunti nchini appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles