Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Watu 36 wauawa, takriban 150 wajeruhi Istanbul, Uturuki

$
0
0

Screen Shot 2016-06-29 at 7.54.00 PM

https://www.youtube.com/watch?v=VDRF35SRFGI
Watu zaidi ya 36 walifariki huku wengine zaidi ya 147 wakiendelea kupata matibabu hospitalini baada ya magaidi watatu kuwashambulia katika uwanja wa ndege wa Istanbul Ataturk nchini Uturuki. Kufikia sasa bendera nchini Uturuki zinapeperushwa nusu mlingoti kama ishara ya kuomboleza.

The post Watu 36 wauawa, takriban 150 wajeruhi Istanbul, Uturuki appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles