https://www.youtube.com/watch?v=4KAZvCwUzr4
Mawakili waliandamana katika ofisi ya Inspekta Generali wa Polisi Joseph Boinet na kutaka kuelezwa kupotea kwa mmoja wao Willy Kimani aliyepotea pamoja na watu wengine wawili wiki iliyopita. Na kama anavyotuarifu mwanahabri wetu Daniel Kariuki mawakili hao wametoa makataa ya siku saba kwa polisi kuelezea aliko wakili huyo huku tukio hili likivutia mashirika yasiyo ya kiserekali ambao wametaka uchunguzi kufanyika mara moja.
The post Mawakili waandamana hadi afisi mwa IG, kutaka kuelezwa kupotea kwa mmoja wao appeared first on Mediamax Network Limited.