https://www.youtube.com/watch?v=qbE7tpEsMHk
Viongozi wa kanisa wamechangamkia uteuzi wa Askofu Jackson Ole Sapit kama kiongozi mpya wa kanisa la ACK.Wakizungumza katika kaunti ya Narok na Kericho viongozi hao kutoka makanisa mbalimbali walitoa hisia zao huku walisema kuwa hatua hii ni kubwa kwani Ole-Sapit alijulikana kwa juhudi zake katika kuleta amani.
The post Jackson Ole Sapit akaribishwa Kericho na kupongezwa Narok appeared first on Mediamax Network Limited.