Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Cord yaapa kuendelea na shinikizo la kuibandua nje tume ya IEBC

$
0
0

Screen Shot 2016-04-26 at 7.47.49 PM

https://www.youtube.com/watch?v=oM3StNly_Qg

Muungano wa Cord umeapa kuendelea na maandamano kila Jumatatu kwanzia tarehe 2 mwezi Mei kote nchini hadi matakwa yao yatimizwe. Wakizungumuza na wanahabari siku moja baada ya maandamano kutibuka kwa hisani ya vitoa machozi, viongozi wa Cord wameilaumu serikali kwa kile wanachokitaja kama njama ya kuukandamiza upinzani. Hayo yanajiri huku maandamano sawa na hayo yakishuhudiwa jijini Kisumu.

The post Cord yaapa kuendelea na shinikizo la kuibandua nje tume ya IEBC appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles