https://www.youtube.com/watch?v=s9ESeJq7g0g
Maisha ya Lucy Muthoni Kibaki yalizingirwa na furaha na utata kwa mpigo mmoja. Kwa wakati mmoja alikuwa mama mwenye bashasha na kutoa changamoto kwa viongozi , na wakati mwingine alikuwa akichemkwa na hasira. Frankline Macharia anasimulia kuhusu maisha ya aliyekuwa mama wa taifa.
The post Ukakamavu na ujasiri wa Lucy Kibaki kutetea familia yake wapigiwa mfano appeared first on Mediamax Network Limited.