https://www.youtube.com/watch?v=Ba2ILACqHlA
Mwanajeshi mmoja kutoka eneo la Kitui amemuua kwa kumpiga risasi mpenzi wake katika hali ya kutatanisha baada ya wawili hao kutofautiana. Fredrick Mutia kutoka eneo la Lower Yatta anadaiwa kukataliwa na msichana huyo hali iliyomfanya kupandwa na mori na kumwangamiza kwa kumpiga risasi.
The post Afisa wa jeshi amuua mpenziwe kabla ya kujitoa uhai kwa risasi appeared first on Mediamax Network Limited.