https://www.youtube.com/watch?v=0tePbCikOUs
Je, jina Harambee Stars lina mikosi gani? Na je, lafaa kubadilishwa kwa manufaa ya timu ya soka ya taifa? Katika juhudi zake za kuleta mwamko mpya kwa timu hiyo shirikisho la soka nchini FKF limeamua kubadilisha jina la timu hiyo ambalo linakisiwa kuwa na mikosi sawia na paka mweusi ambaye kwa wengi anaibua hofu. Mwenyekiti wa FKF Nick Mwendwa alifichua hayo katika mahohjiano ya kipekee na mwanahabari Shawn Osimbo kama anavyo elezea Apopo Mujema.
The post FKF yapania kubadili jina la timu ya taifa ya kandanda appeared first on Mediamax Network Limited.