Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa kuanzia mwaka ujao sherehe mbili za kitaifa ambazo kwa kawaida hufanyika hapa jijini Nairobi sasa zitafanyika kwenye kaunti tofauti. Rais alisema hatua hio itasaidia kuwaleta Wakenya pamoja. Rais alisema hayo kwenye kikao cha nne cha serikali ya kitaifa na magavana ambacho kilifanyika katika ikulu ya Nairobi.
The post Mombasa na Nakuru kuandaa sherehe ya kitaifa,2016 appeared first on Mediamax Network Limited.