https://www.youtube.com/watch?v=Czh2HE3DEhU
Rais azungumzia ufisadi na kukosoa tetesi kuhusu hawala za Eurobond
Rais Uhuru Kenyatta alitaja kuwa serikali imepiga hatua madhubuti katika vita dhidi ya ufisadi akifichua kuwa zaidi ya shilingi bilioni mbili zilizokuwa zimeibwa na wafisadi zimerejeshwa. Aidha rais alitoa onyo kali kwa viongozi wanao nyoosheana vidole vya lawama bila ya kuthibitisha madai yao kuwa watachukuliwa hatua kali. Kama anavyoarifu Hassan Mugambi, kulingana na rais, zaidi ya kesi 68 kati ya 337 za ufisadi zinahusu mabwenyenye.
The post Rais azungumzia ufisadi na kukosoa tetesi kuhusu hawala za Eurobond appeared first on Mediamax Network Limited.