Huku zikiwa zimasalia siku 17 kabla ya Papa Francis kutua humu nchini, shamrashamra za maandalizi zinaendelea kwa kasi, huku kila mdau akijaribu kuhakikisha kuwa mambo yanaenda kama ilivyo pangwa. Katika kanisa la mtakatifu Paulo Nairobi, waimabaji wanaendelea kupiga msasa, na tumbuizo watakazotumia katika makaribisho ya Papa Nairobi. Kama mwanahabari wetu Franklin Momanyi anavyotuarifu, haya yanajiri ...
The post Ziara ya Papa Francis : Kanisa lachangisha shilingi milioni 124 za maandalizi appeared first on Mediamax Network Limited.