Wajumbe wa Jubilee wameendeleza shinikizo lao kumtaka waziri wa ugatuzi Anne Waiguru kujiondoa serikalini. Shinikizo hilo limejiri huku mbunge wa Emurua Dikirr Johanna Ng’eno akianza shughuli kabambe Jumatatu wiki ijayo kukusanya sahihi za kumlazimisha rais Uhuru Kenyatta kuvunjilia mbali baraza la mawazi Naye kinara wa CORD Kalonzo Musyoka ameunga mkono hatua hio ya wabunge na ...
The post Mbunge Johanna Ngeno kuwasilisha hoja ya kuvunja baraza la mawaziri appeared first on Mediamax Network Limited.