Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Wezi wavamia gari la serikali ya kaunti ya Mombasa na kutoweka na Sh200,000

$
0
0

https://www.youtube.com/watch?v=eQAXfg5qKI8 Majambazi waliojihami kwa bunduki wamevamia gari la serikali ya kaunti ya Mombasa lililokuwa likisafirisha pesa kutoka soko kuu la Kongowea, na kutoweka na kitita cha zaidi ya shilingi elfu mia mbili. Kulingana na walioshuhudia kisa hicho, watu watatu waliokuwa kwenye pikipiki walivamia gari hilo punde tu lilipotoka sokoni na kufyatulia dereva wa gari hilo ...

The post Wezi wavamia gari la serikali ya kaunti ya Mombasa na kutoweka na Sh200,000 appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles