Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Wauzaji pombe watumia hirizi na kubuni mbinu ya kuuza vileo sokoni

$
0
0

wauzaji-pombe-watumia-hirizi-kuuza-vileo-vijijini

https://www.youtube.com/watch?v=CojbW0jHJE8&feature=youtu.be

Baada ya serikali kutoa msimamo mkali kuhusiana na biashara ya pombe hatari nchini, sasa wauzaji wa pombe hiyo wameamua kuvumbua mbinu mpya ya kuwawezesha kuiendesha bila kujulikana na vyombo vya usalama katika soko la Eldoret kaunti ya Uasin Gishu.
Lakini leo ilikuwa siku yao ya arobani baada ya wauzaji kumi akiwemo binti wenye umri mdogo, kutiwa nguvuni wakiwa katika harakati ya kuwashughulikia wateja wao mjini Eldoret.
Kama mwanahabari wetu Franklin Momanyi anavyotuarifu, wauzaji hao waliamua kutumia hirizi za kichawi wanazoweka kwenye  milango yao ili kuwaogofya askari watakaoenda kuwakamata.

The post Wauzaji pombe watumia hirizi na kubuni mbinu ya kuuza vileo sokoni appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles