https://www.youtube.com/watch?v=qO0bllir5V8
Watoto wengi walio na ulemavu, hutelekezwa na jamii, na kujipata hoi, kwani hujihisi kuwa hawana maana kwa sababu ya unyanyapaa. Lakini sivyo kwa kila mmoja.
Kutana na Moses Waweru ambaye, ana ulemavu wa uti wa mgongo na hilo humnyima, hata uwezo wa kutembea, na kutumia mikono.
Kama anavyotupasha, Joab Mwaura, Waweru hata amefanikiwa, kuwa kwa sinema, kadhaa, na kujipa na kutambulika.
The post Mwanamume asiye na mikono ajikakamua kula jasho lake appeared first on Mediamax Network Limited.