Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Naibu wa Rais na Gavana wa Bomet wazozana hadharani

$
0
0

Naibu wa rais William Ruto wamezomeana hadharni na gavana wa Bomet Isaac Ruto hii leo baada ya gavana Ruto kutishia kusimamisha mkutano wa kuchangisha pesa ambo naibu wa rais alikuwa amehudhuria kama mgeni wa heshima. Kivumbi kilianza baada ya kundi la wafuasi wa naibu wa rais kuanza kumzomea gavana Isaac Ruto alipoanza kumshambulia naibu wa ...

The post Naibu wa Rais na Gavana wa Bomet wazozana hadharani appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles