Katibu mkuu wa baraza la maimamu na wahubiri nchini Mohamed Khalifa , ametilia shaka malengo ya upinzani akisema kufikia sasa hawajaonyesha nia ya kutafuta suluhu kwa matatizo yaliyopo.
Amewataka wananchi kupuuza maandamano ya kitaifa yanayopangwa na CORD ikizingatiwa kuwa maandamano ya awali yalisababisha maafa na uharibifu wa mali.
The post CIPK Wapinga Maandamano Ya CORD Dhidi Sheria Za Uchaguzi. appeared first on Mediamax Network Limited.