Hii ni baada ya viongozi kanisani humo kudai kuwa hawamtaki Kasisi mkuu wa kanisa hilo nchini Joseph Nthombura, wakidai kuwa anakiuka maadili ya kanisa na kwamba alighushi stakabadhi kupata cheo chake.
Baadhi ya waumini wa kanisa hilo wanadai uongozi wake umekuwa wa kutiliwa shaka tangu mwanzo, na sasa wameamua kujitenga na makanisa mengine ya kimethodisti nchini, kwa malengo ya kujismamia wenyewe eneo la pwani.
The post Kanisa La Methodist Kilifi Latishia Kujitenga Matawi Mengine Nchini. appeared first on Mediamax Network Limited.