Jumla ya maafisa 12 wanaohusika na ulinzi wa miamba ya bahari wanatumia mda wao kukusanya data muhimu miamba ya bahari mjini lamu, ambazo zitatumiwa kufanya marekebisho katika juhudi za kuyafanyia marekebisho mazingira ya bahari. Kulingana nao uvuaji wa samaki kupita kiasi kunaendelea kuathiri ukuaji wa miamba na viumbe wa baharini.
Wanasema utunzaji wa mazingira ya bahari una faida kubwa ikiwemo kuongeza zao la samaki baharini ambalo linaweza kuinua kiwango cha uchumi kwa wakazi wa Lamu wanaotegemea pakubwa uvuvi.
The post Wavuvi wapunguza uvuvi kuimarisha mazingira Lamu appeared first on Mediamax Network Limited.