Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Wanasiasa na wananchi wajumuika kwa makumbusho ya 12 ya aliyekuwa makamu wa rais

$
0
0

Siasa kuhusu mkataba unaokisiwa kutiwa saini kati ya nchi ya Kenya na Uganda kuhusu uagizaji wa sukari nchini zilikumba maadhimisho ya aliyekuwa makamu wa rais Eugene Wamalwa katika nyumbani kwake Kitake, county ya Trans Nzoia. Maadhimisho hayo ambayo hayakuhudhuriwa na vigogo wa upinzani wala wa upande wa serikali yalionalewa viongozi wakishtumu upande wa upinzani kwa ...

The post Wanasiasa na wananchi wajumuika kwa makumbusho ya 12 ya aliyekuwa makamu wa rais appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles