https://www.youtube.com/watch?v=jU4ct0dzF2s
Barobaro moja kutoka kijiji cha Sirigoi , kaunti ya Kakamega amelazwa katika hospitali ya kaunti hiyo baada ya kukata nyeti zake kwa kisingizio kuwa wanawake hawamtaki . Jamaa huyo alidai kuwa hajuti kitendo chake , na ni bora azikate kabisa nyeti zake , badala ya kudhalilishwa na watu wa jinsia ya kike.
The post Madai ya kutelekezwa na wasichana kwampelekea kijana kujikata nyeti appeared first on Mediamax Network Limited.