Quantcast
Channel: NEWS – Mediamax Network Limited
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Watoto wakatwa na kujeruhiwa makalio kwa madai ya kuiba shilingi 2000

$
0
0

Screen Shot 2016-06-17 at 7.42.27 PM

https://www.youtube.com/watch?v=PVIrJayhYM4
Watoto 3 wenye umri wa chini ya miaka kumi na miwili wanauguza majeraha katika kijiji cha mateka eneo bunge la Bumula kaunty ya Bungoma baada ya mama yao mzazi kuwaadhibu kwa kuwakata makalio kwa madai ya kuiba shilingi elfu mbili.

Hata hivyo, mama huyo aliyekiri kufanya kitendo hicho cha kinyama hatishiki na ametishia kuwapa wanawe adhabu kali zaidi iwapo pesa hizo zilizotoweka hazitarejeshwa kwenye mkoba wake. Na kama anavyotuarifu ripota wetu Angela Cheror, maisha ya watoto hao yamo hatarini kufuatia vitisho vya mama yao.

The post Watoto wakatwa na kujeruhiwa makalio kwa madai ya kuiba shilingi 2000 appeared first on Mediamax Network Limited.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12346

Trending Articles