https://www.youtube.com/watch?v=7LrtHFRcLqQ
Naibu rais William Ruto amesema kuwa licha ya serikali kusisitiza kuwa iko tayari kufanya mazungumzo ya kutatua mzozo wa IEBC, upinzani unazidi kutoa masharti yasiyo na msingi na huenda nia yake ni kushinikiza kubuniwa kwa nafasi nyingi za uongozi, na wala sio suala la kurekebisha tume ya uchaguzi nchini. Kwa upande wake Rais Kenyatta amewataka viongozi kushirikiana ili kuimarisha nchi kwa jumla.
The post UhuRuto wazidi kuukosoa upinzani, Kitui na Meru appeared first on Mediamax Network Limited.