https://www.youtube.com/watch?v=iMGf5Sq96SE
Maelfu ya viongozi kutoka ndani na nje ya nchi walijitokeza kujumuika na aliyekuwa rais wa tatu wa Jamhuri ya Kenya Mwai Kibaki, kwenye mazishi ya aliyekuwa mama wa taifa Lucy Kibaki.
Wote waliozungmza wakati wa ibada ya mazishi ya mwendazake walimmiminia sifa kocho kocho, haswa kutokana na misimamo yake mikali ya kulinda familia yake, kama anavyotuarifu Kiama Kariuki.
The post Rais Kenyatta, Mstaafu Kikwete, viongozi mashuhuri wahudhuria mazishi appeared first on Mediamax Network Limited.